ABOUT MNDIGA TECHNOMICS

Mndiga Technomics ni kampuni inayopatikana Mbagala, Chamazi, Saku, ambayo inajishuhulisha na:- 1. MAITENANCE  
 2. Tunarekebisha laptop na desktop computers tofauti tofauti zilizo haribika.
 3. DATA RECOVERING 
 4.           Tunarudisha Data zilizopotea au kuliwa na Virus kulingana na mahitaji ya mteja
 5. NETWORKING

 6.            Tuna weka LAN na WAN katika majengo, maofisi, mahoteli na pia tunatengeneza computer ya mteja kupitia internet akiwa popote pale alipo ilimradi aweze ku Access internet. 
 7.  SALES
 8.            Tunauza Laptop pamoja na Desktop za aina tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja wetu. 
 9. WEB DESIGNING AND DEVELOPMENT 
 10.            Tunatengeneza WEBSITE tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja na pia tunadevelop site zilizoshatengenezwa
 11. GRAPHICS DESIGNING
 12.            Tunadizaini Graphic tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja imma kwa ajili ya ofisi na pia tunadizaini matangazo ya aina tofauti tofauti 
 13.  SOFTWARE
 14.            Tunafanya Insatallation ya software tofauti tofauti na pia tunatoa ushauri wa software gani ya kutumia kulingana na mahitaji ya mteja
 15. APPLICATION AND TROUBLESHOOTING
 16.            Tunatroubleshoot laptop na Desktop
 17. TEACHING 
 18.            Tunafundisha watu waliomaofisini na makazini namna ya kutumia Computer kulingana na mahitaji ya mteja

 NAMNA YA KUTUPATA

ENEO TULIPO:

         DAR-ES-SALAAM
              MBAGALA CHAMAZI
                  SAKU.

NAMBA ZA SIMU:

       +255 654 30 69 30
       +255 683 96 10 31

EMAIL:

       mndigatechnomics@gmail.com

 TUTAFUTE

      FACEBOOK                                                     

                 

0 comments:

Post a Comment